Tuesday, April 5, 2011

siku nzima ukipata wateja kama hawa mmmmh

toka ameanza kuwahudumia wateja hawa sasa ni kama lisaa hivi na bado..........wabishi haoo hasa huyu mwenye simu mkononi ndio balaa.....lakini kwa sababu mdada yupo kikazi zaidi basi anawahudumia tu bila wasiwasi (dada ni maarufu kwa jina la mgole ni mtaalamu wa customs procedures)

mnara wa saa mitaa ya samora na uhuru

mtaa wa samora wenyewe wanapaita "clock tower" mchana huu, maeneo haya ndio kijiwe chetu kilipo

Monday, April 4, 2011

mmmmh aaaaa eeee!!!!!

hapa dr maembe akiumiza kichwa kuandaa tansad ya mteja wake, sijui imemshinda pale or ndio anatafuta jinsi ya ku.........hata sijui, lakini najui tu ule ni umakini wa kazi lazima a-concentrate kwenye kazi......kazeni buti vijana!!!

Saturday, April 2, 2011

TANZANIA TARIFF

kwa msaada wa kujua TARIFF na RATE zake waweza gonga hapa http://196.43.84.189/trapad/TariffBook/HSCodesBook.aspx ingiza H.S CODE yako hapo na waweza kujua VAT & IMPORT DUTY................

ALERT.............ASYCUDA++, ASY-SCAN, TRA-PAD, CULAS AND ALL CUSTOMS SOFTWARE INSTALLATION

If you need any installation ( asycuda++, tra vpn client etc) and to use it..........don't worry, now you can contact us through mobile:- 0755-669634
email:- joshy3vm@yahoo.com

or visit us to our office samora/uhuru street- 1st floor Dodoma house opp clock tower shopping center


note: clearing and forwarding agents who are not yet installing these system you can Oslo come to our office to process your documents