Friday, February 12, 2010

matokeo kidato cha nne yametangazwa, ki ukweli si mazuri sana kiujumla ukitaka kujua kwa kiasi gani please gonga hapa http://www.necta.go.tz/html_csee209/olevel.htm

1 comment:

  1. ki ukweli wanafunzi wamefeli sana, lakini lawama zote nazipeleka kwa serikali kwa kuanzisha shule zake za kata, wanafunzi wengi wanaosoma huko wamefeli mbaya, kama unabisha angalia matokeo ya shule ya kata yako hapo then utaniambia

    ReplyDelete