Wednesday, May 26, 2010

hepi besi dei ya kuzaliwa watoto wake mimi


tarehe kama ya leo mwaka uliopita namaanisha tar 26/05/2009 wanangu walizaliwa pale lugalo hosp, na leo ni mwaka sasa mapacha hawa wametimiza, hepi besi dei faraja & furaha wangu MUNGU awazidishie na awalinde siku zote za maisha yao

1 comment:

  1. wow..cute jamani hongereni sana wanangu..Mungu azidi kuwapa ulinzi wake wa kiungu ndan yenu...azidi kuwapa wazazi wenu nguvu ya kuwalea ehee..sawa..hongeren kwa kupiga hatua watoto wazuri

    ReplyDelete